MAISHA STAREHE BAR

MAISHA STAREHE BAR Morogoro Kichangani Kota za Reli — Karibu ufurahie vinywaji na burudani!
LOGIN (INGIA)

Kuhusu Mfumo & Mawasiliano

Unahitaji mfumo wa MAISHA STAREHE BAR kwa biashara yako? Wasiliana na admin kwa maelezo zaidi.

+255 671 236 647

maishastarehebar@gmail.com

Vipengele Vikuu vya Mfumo

Usimamizi wa Hisa

1. Usimamizi wa Hisa

Fuatilia idadi halisi ya bidhaa (chupa/makopo) na bidhaa zinazoisha muda wake.

POS

2. Rekodi za Mauzo Haraka (POS)

Rekodi mauzo kwa urahisi, fuatilia miamala na utoe risiti papo hapo.

Ripoti

3. Ripoti za Kina & Faida

Pata ripoti sahihi za mauzo, faida, na bidhaa zinazouzwa zaidi.